- Back to Home »
- AFRICA MASHARIKI »
- DIAMOND PLATNUMZ BET RED CARPET AND BEHIND THE SCENE !
Posted by : MKWERE ORIGINAL
Jumatano, 2 Julai 2014
Diamond Platnumz akipita kwenye Red Carpet ya BET mbele ya Mapaparazi
zaidi ya 200,Mwanamuziki huyu alionekana kuwavutia watu wengi na Suit
yake iliyokuwa imemkaa kisawasawa ambayo waingereza wanasema "Well
Tailored Suit" By Designer Sheria Ngowi .

Mapaparazi zaidi ya 200 walichukua every step and moments za Red Carpet wakati Diamond akipita

Mwanamuziki Nelly alitushangaza pale alipomvuta koti Diamond kwa nyuma
na kumwta kwa Jina,Tulishangaa sana kuona kumbe wanamuziki wa Marekani
nao wanafatilia habari za African Nominees.

Hapa Diamond aligeuka nakukuta aliye mvuta koti ni Nelly ambaye alimwambia congratulations.
Ndani kwenye Award show Diamond na USA Manager wake Bwana DMK wakipata Ukodaki



Picha hii ilipgwa kutika angani vile


Behind the scene Diamond akihojiwa na Factory 78 ya UK

Behind the Scene Diamond katika Picha ya Pamoja na DMK ambaye ndiye USA Tour Manager wake

Diamond akihojiwa na Karrueche Tran Kwenye Red Carpet (Karrueche ni Girlfriend wa Chris brown)

Singer Faith Evans ambaye ni Mke wa Marehemu BIG alipata nafasi yakupiga picha na Diamond

Camrea yetu ilimpata Platnum katika poz hili

Picha iliyotamba kwenye Blogs za marekani jana -Diamond katika Poz la Kisheria Ngowi

Diamond akihijiwa na XXL magazine kwenye RED Carpet pembeni yake ni USA Manager DMK

Mtangazaji wa Fox Entertainment akimuhoji Diamond kwenye Red Carpet


