Popular Post

Posted by : MKWERE ORIGINAL Jumatatu, 15 Julai 2013























TANZANIA COMEDIAN'S ASSOSIATION inasikitika kukuambia kuwa comedian mwenzetu posa...
amefariki dunia leo saa 3 asubui katika hospitali ya mwananyamala alipokuwa amelazwa taarifa zaidi za msiba utakapokuwepo tutaambiana ila watu bado tupo hospitali tafadhari mjulishe na mwenzio.. R.I.P POSA.kwa habrai na picha kuhusu msanii huyu utazipata hapa hapa KWENYE BLOG YAKO YA MKWERE ORIGINAL

Leave a Reply

Subscribe to Posts | Subscribe to Comments

comment

- Copyright © MKWERE ORIGINAL - m.media - Powered by Blogger - Designed by M.MEDIA haji mabovu -