- Back to Home »
- MATUKIO »
- PREZZO AMJIBU JAGUAR KWA KUTUONESHA GARI LAKE JIPYA LENYE THAMANI KUBWA
Posted by : ujugu
Jumamosi, 28 Desemba 2013
Gari la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo liko mwisho wa hii post, aliiingia nalo kwenye uwanja pembeni kabisa ya jukwaa alipokwenda kufanya show ambapo alishuka kwenye gari wakati time yake ya kupanda jukwaani ilipofika, alikua kalipaki karibu kabisa na ngazi za kupandia jukwaani.
![]() |
| Hili ndio Gari ya Jaguar |




