Popular Post

Posted by : ujugu Ijumaa, 14 Februari 2014

Kashi- kashi arts group wanakuletea ile COMEDY SHOW ambayo walikuaidi kwa muda mrefu sasa  ni unapata dabo  kwa mpigo mmoja COMEDY  ya kwanza inaitwa WASHENGA NA YA PILI UGONJWA MRADI  USIKOSE KUPATA NAKARA YAKO ORGINAL KUPITIA. SUPER MARKET ZOTE NCHINI NA VITUO VYA MAFUTA  NCHINI. USIKOSE KUPATA UHONDO HUU KUTOKA KWA WACHEKESHAJI WAKO MAHILI
MKWERE ORIGINAL,MZEE MATATA,SAFINA NA MARINGO SABA WOTE HAWA KUTOKA KWENYE KIPINDI  CHA MIZENGWE .
MCHANGO WAKO WA KUCHANGIA SANAA YA TANZANIA NI KUNUNUA NAKARA HALISI.
KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE SIMU NO.0715 800 102/0715 42 46 06
                        EMAIL.mkwereoriginal@gmail.com au website www.mkwereorginal.blogspot.com
                   CHEKA UONGEZE SIKU ZA KUISHI-SANAA NI KAZI


Leave a Reply

Subscribe to Posts | Subscribe to Comments

comment

- Copyright © MKWERE ORIGINAL - m.media - Powered by Blogger - Designed by M.MEDIA haji mabovu -