- Back to Home »
- MATUKIO »
- ZA DARAJA LA DUMILA LILIOHARIBIKA KUTOKANA NA MVUA-SERIKALI YAIFUNGA BARABARA YA MOROGORO -DODOMA KWA MUDA
ZA DARAJA LA DUMILA LILIOHARIBIKA KUTOKANA NA MVUA-SERIKALI YAIFUNGA BARABARA YA MOROGORO -DODOMA KWA MUDA
Posted by : ujugu
Ijumaa, 24 Januari 2014
Mvua kubwa iliyonyesha wilayani Mvomero, Morogoro usiku wa kuamkia jana imesababisha madhara makubwa ikiwemo kukatika kwa daraja la Dumila linalounganisha barabara za Morogoro na Dodoma na kusababisha safari za wananchi kukwama.



