- Back to Home »
- CHEKA NA MKWELE »
- sasa mkwere orginal ipo hewani kwa matangazo kutokana na marekebisho ambayo wadau walita yabadilike
Posted by : MKWERE ORIGINAL
Jumanne, 6 Agosti 2013
kampuni ya mkwere original inapenda kuwatarifu wadau wake kuwa yale marekebisho ambayo waliyataka kuyaona kwanye blog hii sasa yamesha kuwa tayari kinachotakiwa sasa ni wao tu kutembelea. Kampuni ya mkwere inawependa wote na kuheshimu mawazo ya kila mtu na ndo maana tupo pamoja nanyi mpaka sasa asanteni na baadae
