- Back to Home »
- MATUKIO »
- WATANGAZAJI WA MWANZO KABISA WA REDIO ONE HAWATASAHAULIKA NA MBWEMBWE ZAO
Posted by : MKWERE ORIGINAL
Jumatatu, 22 Julai 2013
Chas Hillary a.k.a jitu
Julius Nyaisanga a.k.a anko j
Flora Nducha
John Dilinga
Sebastian Maganga
Sostenes Ambakisye
Dj Fast Eddy
Misanya Bingi
Asia Mohamed
Masoud Masoud
anko Haji Mwandawila na watoto show
Hivi hawa watangazaji wako wapi siku hizi, wakati radio one iko hot hawa jamaa ndio walio ifanya ing'are sana wakati ule...
mwenye kukumbuka mbwembwe na utashi wao katika vipindi walivokuwa wakitangaza radio one atutupie hapa.

