- Back to Home »
- MATUKIO »
- WAJUE MAWAZIRI WAKO TANZANIA NA VITENGO VYAO ILI UWE MZALENDO
Posted by : MKWERE ORIGINAL
Ijumaa, 19 Julai 2013
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora - Mathias Chikawe
- Waziri wa Nchi, Oisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu - Steven Wassira
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma - Hawa Ghasia
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Muungano - Samia Suluhu Hassan
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri wa Mazingira - Dk. Terezya Luoga-Hovisa
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Sera, Uratibu na Bunge - William Lukuvi
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji - Mary Nagu
- Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - George Mkuchika
- Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (i) - Aggrey Mwanri
- Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ii) - Kassim Majaliwa
- Waziri Wizara ya Fedha - Mustapha Mkullo
- Naibu Waziri Wizara ya Fedha (i) - Gregory Teu
- Naibu Waziri Wizara ya Fedha (ii) - Pereira Ame Silima
- Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Shamsi Vuai Nahodha
- Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi - Balozi Khamis Suedi Kagasheki
- Waziri wa Katiba na Sheria - Selina Kombani
- Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Bernard Membe
- Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje - Mahadhi Juma Mahadhi
- Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa - Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi
- Waziri Wizara yaMaendeleo ya Mifungo - Dk. Mathayo David Mathayo
- Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Mifungo - Benedict Ole Nangoro
- Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Profesa Makame Mnyaa M'barawa
- Naibu Waziri Wizara ya Mawasiliano Sayansi ya Teknolojia - Charles Kitwanga (almaaruf Mawe Matatu)
- Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Profesa Anna Kajumulo-Tibaijuka
- Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Goodluck Ole Medeye
- Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii - Ezekiel Maige
- Waziri Wizara ya Nishati na Madini - William Mghanga Ngeleja
- Naibu Waziri Wizara ya Nishati na Madini - Adam Kighoma Ali Malima
- Waziri Wizara ya wa Ujenzi (Barabara na Viwanja vya Ndege) - Dk. John Pombe Magufuli
- Naibu Waziri Waziri Wizara ya wa Ujenzi - Dk. Harrison Mwakyembe
- Waziri Wizara ya Uchukuzi - (Reli, Bandari, Usafiri wa Majini) - Omary Nundu
- Naibu Waziri Wizara ya Uchukuzi - Athuman Mfutakamba
- Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara -Dk. Cyril Chami
- Naibu Waziri Wizara ya Viwanda na Biashara - Lazaro Nyalandu
- Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Dk. Shukuru Kawambwa
- Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi - Philipo Mulugo
- Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Haji Hussein Mpanda
- Naibu Waziri Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii - Dk. Lucy Nkya
- Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Gaudensia Kabaka
- Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira - Dk. Makongoro Mahanga
- Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Sophia Simba
- Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto - Umi Ali Mwalimu
- Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Emmanuel John Nchimbi
- Naibu Waziri Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Dk. Fenela Mukangala
- Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Samuel John Sitta
- Naibu Waziri Wizara ya Ushirikiano Afrika Mashariki - Abdallah Juma Abdallah
- Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Profesa Jumanne Maghembe
- Naibu Waziri Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika - Christopher Chizza
- Waziri Wizara ya Maji - Profesa Mark James Mwandosya
- Naibu Waziri Wizara ya Maji - Gerson Lwinge
NB: Nakala ya orodha hii iliyotolewa Ikulu inapatikana hapo chini ya picha ya Rais, (vipande vitatu) bofya kuvikuza ili kuweza kusoma majina ya Mawaziri na Manaibu wao na Wizara watakazoziongoza).
UPDATE 1:
Audio ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete akitangaza Baraza jipya la Mawaziri linalotarajiwa kushika hatamu kwa kipindi cha mwaka 2010 hadi 2015. Mheshimiwa Rais alianza kuzungumza ilipotimu saa sita na nusu (EAT).
Pleya zipo mbili lakini ni audio moja, zimewekwa mbili ili kuongeza uchaguzi wa ile itakayosikika katika kompyuta yako. Bofya kifute cha play kumsikiliza...
