Posted by : MKWERE ORIGINALAlhamisi, 11 Julai 2013
vunja mbavu zako wiki hii na mizengwe jumapili hii saa tatu na robo usiku yani ukikosa kaji tundike usiache kutazama utapata kuona mambo mbali mbali na vionjo vya mkwele na babu matata anapowekwa matatani.
ushawai kuona nyumba kama meli kama ujawai tazama mizengwe wiki hii.