- Back to Home »
- CHEKA NA MKWELE »
- Ukiulizia picha 5 za vituko Uswahilini, na hizi utaletewa
Posted by : MKWERE ORIGINAL
Jumanne, 9 Julai 2013

Sikatai kwamba kuna uwezekano umeshawahi kuishi kwenye maeneo ambayo Tanzania imezoea kuyaita Uswazi ila nakubali kwamba kuna uwezekano ukawa hujawahi kukutana na hizi picha kutoka mitandao mbalimbali ambazo zinaonekana kama kituko lakini pengine ndio maisha halisi kabisa ya sehemu tunamoishi na kupaita Uswazi…
Hebu zitazame picha zote alafu useme ipi imekuvutia mtu wangu…



