- Back to Home »
- UDAKU »
- SHILOLE:HAKUNA MWANAUME KAMA BARNABA
Posted by : MKWERE ORIGINAL
Ijumaa, 19 Julai 2013
Msanii wa film na bongo freva zuwena mohamedi marufu kama shilole ametoa tamko......
Msanii wa film na bongo freva zuwena mohamedi marufu kama shilole ametoa tamko kuwa hakuna mwanaume kama barnaba kwa sababu barnaba alikuwa mwanaume wake wa maisha yake na anampenda sana mpaka leo na anamueshimu sana kwani tangu walipokuwa na uhusiano alikuwa akisaidia familia yake na kusomesha watoto wake so barnaba nampenda sana ni mwanume ambae anajua kum handle mwanamke alisema shilole jana katika kipindi cha MBONI SHOW cha television ya EATV na kuendeleza kusema kuwa japo barnaba anamwanamke ambae ni mkewe kwa sasa ila bado anamuheshimu na hato msahau
